PRESS RELEASE

PRESS RELEASE (41)

LETS COMMEMORATE WOLRD AIDS DAY WHILE FIGHTING GENDER BASED VIOLENCE Tanzania Media Women Organization (TAMWA) joins Tanzanians to commemorate World AIDS Day which is annually commemorated on 1st December where as it calls on members of the community to take collective initiative against gender based violence acts which contribute to spread of HIV/AIDS. Among the acts which contribute to spread of HIV include rape, inheriting women, forced marriage, Female Genital Mutilation among others. Most of people subjected to such acts are women, girls and children.

MKUTANO MKUU WA TAMWA 2014:MARCH 27,2015

12 April 2015 Written by
Published in PRESS RELEASE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MKUTANO MKUU WA TAMWA 2014 JUMAMOSI Zaidi ya Wanachama 100 wa Chama cha Wanahabari Wanawake nchini- TAMWA Jumamosi tarehe 28th Machi, 2015 wanafanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka 2014 ambapo pamoja na mambo mengine wanachama watapata fursa ya kutathmini kazi zilizofanyika mwaka 2014, na utekelezaji wa mpango mkakati wa 2015-2021. Mkutano huo utaanza saa 2:00 asubuhi katika ofisi za chama zilizoko Sinza Mori, Dar es Salaam.

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper