TAMWA KUZINDUA MRADI WA USALAMA BARABARANI

26 July 2016
Published in NEWS
Chama cha wanahabari wanawake Tanzania (TAMWA) Kesho tarehe 27 Julai, 2016 kinatarajia kuzindua mradi wa usalama barabarani. Shughuli za uzinduzi zitaanza saa mbili na nusu, na uzinduzi utafanyikia katika Ofisi za TAMWA zilizopo Sinza-Mori, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika uzinduzi huu atakuwa Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani Mohammed Mpinga. Uzinduzi huu pia utahudhuriwa na viongozi wa Serikali, madereva na mashirika yasiyo ya kiserikali na wanahabari. Lengo kubwa la mradi wa usalama barabarani ni  ni kupeana elimu kuhusu usalama wa barabarani.

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper