TAMWA YAMLILIA MWALIMU CHRYSOSTOM RWEYEMAMU

30 May 2017
Published in NEWS
Chama cha Wanahabari Wanawake nchini TAMWA, kinaungana na wanahabari wote nchini kuomboleza kifo cha Mwalimu Chrysostom Rweyemamu ambaye amefundisha baadhi ya wanachama wake na wengine kufanya naye kazi ya kufundisha katika chuo cha uandishi wa habari, Tanzania School of Journalism (TSJ)  Mwalimu; licha ya umahiri wake alipenda tasnia ya habari kama mboni ya jicho lake alikuwa na upendo, mcheshi na mpiganaji hasa kwa yale aliyoyaamini.  Kweli tasnia imepata pengo kubwa lisilo mithilika. Hata hivyo, tunapotoa pole kwa familia ndugu na jamaa wa marehemu, tunamshukuru Mungu kwa muda aliotupatia kuishi na kufanya kazi naye. Tunamuomba Mungu ampe raha ya milele na apumzike kwa amani, AMINA.

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper