TAMWA YAHUDHURIA WARSHA YA MATOKEO YA UTAFITI WA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WASICHANA WENYE ULEMAVU KATIKA WILAYA ZA MKURANGA NA KIBAHA.

01 June 2017
Published in NEWS
Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA)kilihudhuria katika warsha iliyoandaliwa na ADD International. Warsha hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel Dar es Salaam. Lengo la warsha hii ilikuwa ni kutoa matokeo ya utafiti waliofanya juu ya Unyanyasaji kijinsia kwa Wanawake na Wasichana wenye ulemavu katika wilaya za Mkuranga na Kibaha mkoani Pwani. Utafiti ulihusisha wanawake na wasichana wenye ulemavu 32 kutoka wilaya za Mkurunga na Pwani. Waliokusanya taarifa ni wanawake walemavu kutoka SHIVYAWATA (Shirikisho la Vyama vya Walemavu Tanzania). ADD International iliwaomba wadau wa masuala ya wanawake na wasichana, kuona ni kwa jinsi gani wanavyoweza kusaidia kuondoa au kupunguza tatizo hilo katika mkoa wa Pwani na Mikoa mingine.    

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper