TAMWA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

09 June 2017
Published in NEWS
CHAMA Cha waandishi wa habari Tanzania (TAMWA) leo  imekutana na wahariri wa vyombo vya habari nchini ili kuwaeleza kuhusu programu mpya ya miaka mitano katika Masuala ya utawala bora na haki inayodhaminiwa na Shirika la maendeleo la Denmark (DANIDA)  Lengo la programu hiyo ni  kuchangia katika uboreshaji wa hali ya maisha ya wanawake na wanaume kupitia msaada ambao utakuza usawa wa kijinsia, uwezeshaji wa wanawake, demokrasia, utawala bora na kuheshimu haki za binadamu nchini Tanzania.  Wahariri wamekiri kuwepo kwa changamoto katika kuandika habari za ukatili wa kijinsia nchini ikiwemo ukosefu wa takimu sahihi na mazingira magumu ya kuandika habari hizo.

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper