PRESS RELEASE

PRESS RELEASE (41)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI              19-04-2015   Vyama vya siasa vimetakiwa kuweka mikakati madhubuti kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kugombea nafasi za uongozi. Afisa utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania ((TAMWA), Sheikha Haji Dau alisema kuwa mikakati hiyo inapaswa kutumika katika kipindi hichi ambacho vyama vya siasa vimo katika mchakato wa kufanya uchaguzi ndani ya vyama vyao kwa ajili ya uchaguzi mkuu huo.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, 26,oktoba,2014 Waratibu wawanawake   kutoka wilaya 10 za Unguja na Pemba, wameombwa gombea wanawake  kupatiwa mafunzo ya uongozi na mapema yatakayo wajengea uwezo ili  kukabiliana na changamoto za uchaguzi mkuu mwakani. Wanawakehao   walisema, mafunzo ya uongozi ni njia pekee itakayowaweka wagombea hao mstari wa mbele katika kugombea nafasi za Uwakilishi na Ubunge bila ya wasiwasi wowote.

Women with disabilities call for support

11 January 2015 Written by
Published in PRESS RELEASE
Society members ought to accept People with Disabilities on political participation including in leadership positions. Executive Secretary of Union for Women with Disabilities Zanzibar (UWWZ), Mwandawa Khamis said , people with disabilities are excluded from political posts due to their disabilities and not inabilities.

OUR YOUTUBE VIDEOS

Events - Calendar

November 2017
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30

FOLLOW US ON FACEBOOK

JoomShaper