Kampeni ya umoja wa asasi za kiraia unaolenga kuimarishwa kwa sera na sheria ya usalama barabarani.

Pamoja tunaweza kupunguza vifo na ulemavu unaosababishwa na ajali za barabarani ifikapo 2020.

#Ajalisasabasi

Tuseme #Ajalisasabasi

Takwimu za ajali barabarani

Taarifa kutoka jeshi la polisi Tanzania 2017

6,022

Ajali

2,705

Vifo

6,169

Majeruhi

News

Jiunge nasi Mitandaoni