Monday, 07 March 2016 03:00

TAMWA YAKUTANISHA WADAU WA VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA NA WANAHABARI - HOTELI YA FLOMI, MOROGORO

TAMWA, kwa ufadhili wa UNWOMEN ilifanya tathmini ya vyombo vya habari namna vilivyoandika habari za wanawake katika uchaguzi mkuu uliopita,Tamwa katika mchakato na dira yake ya kuwa na Tanzania Yenye Amani, inayoheshimu haki za binadamu kwa mtazamo wa kijinsia, march 4, 2016 ilifanya mkutano baina ya waandishi wa habari na wanasiasa toka vyama vya siasa waliogombea katika nafasi mbalimbali za uongozi, mkoani Morogoro katika ukumbi wa Hotel ya Flomi  ili kuweza kusikia changamoto mbalimbali walizokutana nazo wagombea na nini kifanyike katika kuzitatua katika uchaguzi ujao. Katika mkutano huo tamwa waliweza ulitoa tathmini ya jinsi vyombo vya habari vilivyoandika habari za wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ikiwa ni mwendelezo wa mkutano uliofanyika jijini Dar es salaam february 19  2016 Tathmini hiyo ya miezi mitatu ilifanywa  katika vyombo vya habari vya, Mtanzania, Nipashe, Habarileo, the Citizen, na the guardian.

VISITORS COUNTER

5125007
Today
Yesterday
This Week
This Month
Last Month
All days
10280
10790
53945
21070
272312
5125007

Your IP: 5.18.235.239
2020-07-02 21:41

OUR VIDEOS

FOLLOW US ON FACEBOOK

FOLLOW US ON TWITTER