Sunday, 23 August 2015 03:00

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMWA KUTAMBULISHA KWENYE KATA MRADI WA UNYWAJI POMBE KUPINDUKIA

Written by 
Rate this item
(0 votes)

 

Chama cha Wanahabari Wanawake - TAMWA leo, tarehe 24 Agost, 2015 katika ofisi zake, Sinza Mori kinakutana na viongozi wa mitaa, wadau na vikundi vya jamii, Kata za Saranga na Wazo Hill, kutambulisha mradi wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia unaosababishwa na unywaji pombe kupindukia wa IOGT.
Mradi huo unaotekelezwa katika kata tatu za Wilaya ya kinondoni, Dar es Salaam ambazo ni Makumbusho, Saranga na Wazo Hill, unalengo la kutekeleza mikakati ya kuhakikisha zinawekwa sera na sheria zitakazosaidia katika kupunguza ukatili wa kijinsia unaotokana  na matumizi ya unywaji pombe kupindukia.
Aidha mradi umekuja kipindi ambacho ukatili wa kijinsia hasa ule unaofanywa na wanaume kuwatelekeza wanawake na familia zao pamoja na ubakaji unaofanywa na ndugu wa karibu kufanyika kila mara, vitendo ambavyo vimekuwa vikiongezeka kutokana na ulevi wa pombe.
TAMWA imekuwa ikipata kesi za ukatili kupitia kituo chake cha Usuluhishi-CRC na kubaini kuwa vitendo vya wanawake kutelekezwa vimeongezeka, ambapo kwa kipindi cha miezi sita ya Juni hadi Desemba mwaka 2014 kilipokea kesi 34 ziliongezeka na kufikia kesi 53 kwa miezi sita ya mwaka 2015 kuanzia Januari hadi Juni.
TAMWA inaamini kuwa, kama wanaume watatambua majukumu na umuhimu wao na kuachana na unywaji pombe kupindukia unaosababisha vitendo vya ukatili ikiwa ni pamoja na  ubakaji, wanawake na watoto kutelekezwa, vipigo kwa wanawake, watoto kulazimishwa kuolewa, maisha ya familia yataboreshwa pamoja na maendeleo ya jamii, kiuchumi na Taifa kwa ujumla.
 
Edda Sanga
Mkurugenzi Mtendaji
 
 
 
PRESS RELEASE
 
TAMWA TO INTRODUCE ALCOHOLISM PROJECT IN WARDS
                                                           
Tanzania Media Women’s Association – TAMWA today on 24th August, 2015 at its offices, Sinza Mori, Dar es Salaam will meet with local leaders, stakeholders and community groups from Saranga and Wazo Hill Ward to introduce the IOGT project aimed at combating excessive alcohol that contribute to Gender Based Violence (GBV).
 
The project being implemented in three wards of Kinondoni, Dar es Salaam at  Makumbusho, Saranga and Wazo Hill, intended to set strategies ensuring that policies and laws support the efforts to combat the alcoholism that contribute to gender based violence.
 
Additionally; the project has come at a right time when gender based violence especially those perpetrated by the excessive consumption of alcohol such as abandonment of women and children and rape are on the increase.
 
TAMWA has been receiving cases of violence through its Crisis Resolving Centre-CRC and realized the increase of acts of abandonment of women, whereas for the period of six-month from June to December, 2014 received 34 cases increased to 53 cases in the six months of January to June, 2015.
 
TAMWA believes that, through its interventions, men will take responsibilities to stop the excessive alcohol consumption which contribute to gender based violence and ultimately improve the wellbeing of the families and promote development in communities and the nation at large.
 
 
Edda Sanga
Executive Director
Read 242302 times Last modified on Thursday, 27 August 2015 16:12

10 comments

 • Comment Link cbd oil that works 2020 Monday, 29 June 2020 01:28 posted by cbd oil that works 2020

  great publish, very informative. I'm wondering why the
  other specialists of this sector don't understand this.
  You should continue your writing. I'm sure, you've a huge readers' base already!

 • Comment Link cbd oil that works 2020 Sunday, 28 June 2020 01:34 posted by cbd oil that works 2020

  Its like you read my mind! You appear to know a lot about
  this, like you wrote the book in it or something. I think that you
  can do with some pics to drive the message home a bit, but other than that, this
  is wonderful blog. A fantastic read. I will certainly be
  back.

 • Comment Link https://procheckinspect.com/cbd-oil-2 Saturday, 27 June 2020 04:12 posted by https://procheckinspect.com/cbd-oil-2

  This website truly has all the information I wanted about
  this subject and didn't know who to ask.

Leave a comment

Make sure you enter the (*) required information where indicated. HTML code is not allowed.

VISITORS COUNTER

5142954
Today
Yesterday
This Week
This Month
Last Month
All days
5964
10942
71892
39017
272312
5142954

Your IP: 5.18.235.239
2020-07-04 12:30

OUR VIDEOS

FOLLOW US ON FACEBOOK

FOLLOW US ON TWITTER