Sunday, 26 October 2014 03:00

Wanawake waomba kupatiwa elimu yauongozi kabla yauchaguzi

Written by 
Rate this item
(0 votes)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, 26,oktoba,2014


Waratibu wawanawake   kutoka wilaya 10 za Unguja na Pemba, wameombwa gombea wanawake  kupatiwa mafunzo ya uongozi na mapema yatakayo wajengea uwezo ili  kukabiliana na changamoto za uchaguzi mkuu mwakani.

Wanawakehao   walisema, mafunzo ya uongozi ni njia pekee itakayowaweka wagombea hao mstari wa mbele katika kugombea nafasi za Uwakilishi na Ubunge bila ya wasiwasi wowote.Hayo waliyasema katika Afisi za Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Zanzibar huko Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi na Gombani, ChakeChake Pemba, walipokuwa na mazungumzo na Chama hicho pamoja na Afisa kutoka UNWomen.


Mratibu wa wanawake kutoka wilaya ya kusini Unguja Zawadi Hamdu Vuai alisema, wanawake ni watendaji wakubwa wa maendeleo katika maeneo yao lakini hupata changamoto kubwa wakati wa kugombea nafasi za uongozi.

 

Alizitaja changamoto hizo kuwa ni pamoja na kuonekana wahuni, kuitwa waasi wa dini ambayo inatafsiriwa vibaya kuhusu wanawake kuwa viongozi, kutokuwa na mitandao na uhaba wa elimu ya kampeni za kisiasa.


Alifafanua kuwa elimu ni msingi wa uongozi lakini wanawake wamekuwa wakinyimwa na hivyo kuwa wachache katika nafasi za uongozi ambapo kwa Zanzibar ni wawakilishi watatutu katika idadi ya 50 wanaotoka kwenye majimbo.

Bi Samira Abrahman kutoka Chambani, ChakeChake Pemba  alisema, ikiwa mwanamke atapatiwa elimu ya uongozi, kampeni atakazoziendesha zinaweza  kuzaa matunda kwa vile atajiamini zaidi kinyume na inavyofikiriwa kuwa wanawake ni watu wa kuteuliwa tu.

Alieleza kuwa kwa muda wote wanawake ambao ndiyo wengi katika nchi wamekosa kuhamasishwa na mapema kama wagombea na badala yake kuishia kutumika kwenye kampeninakupigakurakwawenzaowakiumetu.

Kwa miaka mingi medali ya siasa imekuwa ikitawaliwa na wanaume Zanzibar na hivyo kuwafanya wanawake kutegeme a viti maalum tu ambavyo havioneshi uwezo wa mwanamke kiharakati.

Mratibu

TAMWA, ZANZIBAR

 

 

PRESS RELEASE   26th October, 2014

Women call for capacity building for the electoral race.

Shehia Coordinators from 10 districts of Ungujaand Pemba,have asked for timely leadership courses to women potential aspirants in order to withstand the social challenges emanated from the General election slated for next year.

They said leadership trainings are the only means which will make the aspirants fearlessly join the political race.

Talking on a joint meeting between Tanzania Media Women’s Association and (TAMWA), Zanzibar and UNWomen at a latter’s premises Mombasa, Unguja Urban West and Gombani, ChakeChake Pemba, they stated that without early capacity building sessions women increasing level of confidence would be a mere pipe dream.


A shehia coordinator from Unguja southZawadiHamduVuaisaid that women are often committed personalities but their turn out for electoral posts is relatively low due owing to several social political hurdles.

 

She mentioned some of the challenges as being viewed by the society as prostitutes, deviants due to misinterpretation of the religious versus, lack of networks and lack of knowledge to plan and execute political campaigns.


She clarified that capacity building is the base of political ladder but women in Zanzibar have been denied of as a result to date there are only three women who are House Members of Representatives through Constituencies out of 50.

Ms Samira Abrahman from Chambani, ChakeChake Pemba said that should women equipped with the political trainings, her confidence level will increase and definitely win the race.

He said in the past, women majority were sidelined in the political contest and instead they were used as reliable voters and campaigners for their male counterparts.

For years, the Zanzibar political landscape has been shaped by male contestants in all of the strategic electoral posts and women were pushed at the special seats which fall short of activism thrust.

 

Mzuri Issa Ali,

Coordinator,

TAMWA,ZANZIBAR

Read 82255 times Last modified on Wednesday, 02 September 2015 09:30

17 comments

  • Comment Link Dorian Spoelstra Tuesday, 29 January 2019 11:39 posted by Dorian Spoelstra

    thanks for sharing this information..have shared this link with others keep posting such information..

  • Comment Link Leslee Mickonis Tuesday, 29 January 2019 11:39 posted by Leslee Mickonis

    thanks for sharing this information..have shared this link with others keep posting such information..

Leave a comment

Make sure you enter the (*) required information where indicated. HTML code is not allowed.

VISITORS COUNTER

5139095
Today
Yesterday
This Week
This Month
Last Month
All days
2105
10942
68033
35158
272312
5139095

Your IP: 3.236.126.69
2020-07-04 04:26

OUR VIDEOS

FOLLOW US ON FACEBOOK

FOLLOW US ON TWITTER