WAFANYAKAZI WA TAMWA WAPATIWA MAFUNZO YAKUPAMBANA NA MOTO MAOFISINI NA MAJUMBANI

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAWMWA) kimetoa mafunzo maalum kwa Wafanyakazi wake wote jinsi ya kukabiliana na ajali ya Moto pindi itakapotokea wawapo maofisini na majumbani ili kuweza kuokoa maisha na athari zaidi zinazoweza sababishwa na ajali ya moto maofisini na majumbani hasa pale ambapo wahanga wanapokosa elimu sahihi na mbinu dhidi ya kukamiliana na moto.

Read more...

VYOMBO VYA HABARI VILIVYOMINYA SAUTI ZA WANAWAKE WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

Uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Mwaka 2015 ulionyesha kuwa wanawake walikosa nafasi kwenye vyombo vya habari. Kutokana na ufuatiliaji wa habari za magazeti sita uliofanywa katikati ya Septemba na Oktoba mwaka jana, TAMWA iligundua kuwa; ni asilimia 11 tu ya wanawake ndio waliopata nafasi ya kuandikwa katika magazeti wakati wa Uchaguzi mkuu.

TAMWA imebaini kuwa kati ya vyanzo vya habari 2,577 vilivyotumika kwenye habari wakati wa Uchaguzi mkuu mwaka jana, wanaume waliotumika kama vyanzo vya habari walikuwa 2,256 sawa na asilimia 88 ikilinganishwa na wanawake 303 tu ambao ni sawa na asilimia 11. Vyanzo vya habari ambavyo havikujilikana kuwa ni mwanaume au mwanamke vilikuwa 18 tu ambavyo ni sawa na asilimia 1.

Read more...

VISITORS COUNTER

4769949
Today
Yesterday
This Week
This Month
Last Month
All days
2943
4523
7466
177292
81971
4769949

Your IP: 5.18.235.239
2020-05-25 12:52

OUR VIDEOS

FOLLOW US ON FACEBOOK

FOLLOW US ON TWITTER