VYOMBO VYA HABARI VILIVYOMINYA SAUTI ZA WANAWAKE WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

Uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Mwaka 2015 ulionyesha kuwa wanawake walikosa nafasi kwenye vyombo vya habari. Kutokana na ufuatiliaji wa habari za magazeti sita uliofanywa katikati ya Septemba na Oktoba mwaka jana, TAMWA iligundua kuwa; ni asilimia 11 tu ya wanawake ndio waliopata nafasi ya kuandikwa katika magazeti wakati wa Uchaguzi mkuu.

TAMWA imebaini kuwa kati ya vyanzo vya habari 2,577 vilivyotumika kwenye habari wakati wa Uchaguzi mkuu mwaka jana, wanaume waliotumika kama vyanzo vya habari walikuwa 2,256 sawa na asilimia 88 ikilinganishwa na wanawake 303 tu ambao ni sawa na asilimia 11. Vyanzo vya habari ambavyo havikujilikana kuwa ni mwanaume au mwanamke vilikuwa 18 tu ambavyo ni sawa na asilimia 1.

Read more...

TAMWA YATOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA MASOKONI

Wanawake katika masoko ya Ilala, Buguruni na Kiwalani wameishukuru TAMWA na EFG kwa kuwawezesha kutambua haki zao masokoni.

Wamesema hayo wakati wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mradi unaolenga kuhamasisha wa kuvitumia vyombo vya habari katika kutokomeza ukatili wa kijinsia masokoni.

 

Read more...

VISITORS COUNTER

4770070
Today
Yesterday
This Week
This Month
Last Month
All days
3064
4523
7587
177413
81971
4770070

Your IP: 5.18.235.239
2020-05-25 13:20

OUR VIDEOS

FOLLOW US ON FACEBOOK

FOLLOW US ON TWITTER