News/Stories

TANGAZO: TAMWA INATAFUTA DALALI WA KUUZA MAGARI YAKE MAWILI

User Rating: 4 / 5

Star ActiveStar ActiveStar ActiveStar ActiveStar Inactive
 

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kinatangaza nafasi kwa makampuni ya udalali na madalali binafsi kuuza magari yake mawili kama yanavyoonekana katika tangazo hapo chini.

Tafadhali tuma barua ya maombi kupitia barua pepe This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. kwa maelezo zaidi tembelea ofsi zetu au piga simu namba +255222772681 au 0719485006 au 0754462632


   


v


Latest News and Stories

Search