CHAMA CHA WANAHABARI WANAWAKE TANZANIA TAMWA kina watangazia wanachama wake kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama (AGM) utakaofanyika Juni 13-14 , 2025.
LENGO LA MKUTANO MKUU WA AGM NI:
• Uchaguzi wa wanachama wapya kwa mujibu wa Katiba ya Chama .
• Tathmini ya mwenendo wa chama – mafanikio, changamoto, na mwelekeo mpya .
• Uwasilishaji wa taarifa ya mapato na matumizi ya chama .
• Uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi na mustakabali wa TAMWA .
• Fursa ya wanachama kutoa maoni na mapendekezo ya kuimarisha mchango wa TAMWA katik ajamii .
Mkutano huu utafanyika tarehe 13-14 Juni, 2025
• Eneo: Ukumbi wa TAMWA, Sinza, Mori, Dar es Salaam
• Moduli: Kwa kufika ofisi za TAMWA na kwa njia ya Zoom
• Muda: Saa 4 asubuhi
Wanachama wote mnahimizwa kuhudhuria
Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na TAMWA kupitia ;
Barua pepe : This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Simu :0716622200
TAMWA
May 26
Hits: 464
( 0 Rating )