Dar es Salaam, Septemba 10, 2025.Chama cha WanahabariWanawake Tanzania (TAMWA) kinatoapongezizadhatikwawanawakewotewaliojitokezakuwanianafasizauongozikuanziangaziyaudiwani, ubungehadiuraiskatikamchakatowa uchaguzimkuu wa Oktoba 29, 2025.
Mchakatowauteuzinauchukuajifomuumeonyeshaarinamwamkomkubwa wa wanawakekushirikikwenyenafasimbalimbalizauongozinchini. KwamujibuwatakwimuzaUlingoWanawake, jumlayawanawake 231 walichukuafomuzaubungekupitia CCM, nakatiyao 25 waliteuliwanachama, nanewakiwaniwapya. Aidha, mwakahuuvyamavingivyasiasavimeongezaidadiyawanawakewagombeawenzakatikanafasiyauraisnamakamu wa Rais.
Kwanamnayakipekee, TAMWA inampapongezizapekeeMheshimiwaSamiaSuluhu Hassan, aliyeteuliwana CCM kuwamgombea wa kwanza mwanamke wa uraiskatikahistoriayachamatawala.Hiinihatuakubwanayakihistoria, inayoashiriamapinduzinamwelekeompya wa ushiriki wa wanawakekatikauongozi wa juunchini.
PiatunawatambuawanawakewenginewalioteuliwakugombeauraispamojanawagombeawenzaakiwamoMwajumaNotyMiramboaliyechukuafomuyakuwaniauraiskupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), akiwanamgombeamwenzaMashavuAlawiHaji.Wagombeawenza w niEvelineWilbardMunis- NCCR, Husna Mohamed Abdallah-CUF, Aziza Haji Selemani-MAKINI, Amani Selemani Mzee-TLP, ChausikuKhatibu Mohamed-NLD, Sakia Mussa Debwa-SAU, ChumaJumaAbdallahnaDevothaMinja- CHAUMA.
TAMWA inatambuanakuthaminiujasirinakujitumakwawanawakewotewaliojitokeza au kujaribukugombeanafasihizi, lichayachangamotombalimbalizinazowakabili.
Kwamudamrefu, TAMWA imekuwamstariwambelekuhamasishaushiriki wa wanawakekatikasiasanauongozikupitiawarsha, makongamano, mijadalanavyombovyahabariilikuondoavikwazovinavyowakabiliwanawake. Mafanikiohayanihatuamuhimukuelekealengo la kuonawanawakewakiongozakatikangazizamaamuzinakuchocheausawa wa kijinsia.
RipotiyaOfisiya Taifa yaTakwimu (NBS) inaoneshakuwahadiFebruari 2024, wanawakewalikuwaasilimia 37.4 yawabunge (148 katiya 392), wengiwaowakiwakupitiavitimaalum.RipotizaAprilinaJulai 2024 zinaonyeshaasilimia37.5 yamawaziriniwanawake.
Lichayamafanikiohaya, badojamiiinakabiliwanachangamotozinazotokanana mfumodumenaudhalilishaji wa wanawake, hasakwenyemitandaoyakijamii. TAMWA inaendeleakutoaelimukupitiavyombovyahabarikuhakikishawanawakewanasiasawanashirikikampenikatikamazingirarafikiyenyeusawanausalamakamailivyo wa wagombeawanaume, bilakubaguliwakwamisingiyajinsia.
Uwepowawanawakekwenyeuongozinimuhimukwamaendeleoyataifa, kwanihuletausawa wa kijinsiakatikajamii, uwajibikajinakulindamaslahiyamakundiyote, hususanwanawakenawatoto. Kukosekanakwawanawakekatikanafasizajuukunadhoofishautekelezaji wa sheriana sera zakulindahakizawanawakenawatoto, ikiwemokupambananaukatili wa kijinsia, ndoanamimbazautotoni, ukeketajinaudhalilishaji wa kijinsianamakundiyawatuwenyemahitajimaalum.
TAMWA inasisitizaniwajibu wa jamii, vyamavyasiasa, serikalinawadau wa maendeleokuhakikishawanawakewanapatanafasisawakwenyesiasanauongoziilikujengataifalenyeusawa wa kijinsia, amaninamaendeleoendelevu.
Kadhalika, tunatoawitowakampenisafinajumuishi, zenyestahazinazolengakujengaustawinautu wa jamii, badalayasiasazamatusinakejeli. Tamwainafuatilia kampenikatikangazizotenahaitasitakuripotimgombeayeyote au kundiambalolitakiuka kanunizauchaguziilisheriaichukuemkondowake.
Dkt. Rose Reuben
Mkurugenzi Mtendaji.